Naomba kufahamu kuhusu Chuo cha Ualimu Marangu

Naomba kufahamu kuhusu Chuo cha Ualimu Marangu

Bagrameshi

Senior Member
Joined
Jun 22, 2012
Posts
131
Reaction score
43
Naomba mwenye kujua zaidi Chuo cha Ualimu Marangu kiko wapi na mahitaji ya muhimu ya kwenda nayo.

Nimechaguliwa stashahada ya ualimu shule za msingi. Mwenye kujua kuripoti tarehe ngapi.

naombeni msaada
 
Naomba mwenye kujua zaidi chuo cha ualimu marangu kiko wapi na mahitaji ya muhimu ya kwenda yayo.

Nimechaguliwa stashahada ya alimu shule za msingi. Mwenye kujua kuripoti tarehe ngapi. naombeni msaada
 
Kipo Marangu mkoani Kilimanjaro,kilometa chache kabla ya kufika KINAPA.Mengineyo sijui.
 
We ni muongo pale ni Diploma hakuna Grade 'A bana
 
Naomba mwenye kujua zaidi Chuo cha Ualimu Marangu kiko wapi na mahitaji ya muhimu ya kwenda yayo.

Nimechaguliwa stashahada ya ualimu shule za msingi. Mwenye kujua kuripoti tarehe ngapi.

naombeni msaada
Ndugu hujajitambulsha upo mkoa upi ili upate msaada vizuri hata hivyo ukifika moshi mjini panda daladala zinazokwenda Kilema watakushusha getini,hayo mengine utayapata huko chuoni
 
Nimesoma Pale, Hakuna Grade A. ni diploma tu. jiandae kwenda kupata elimu sahihi katika mazingira sahihi. baridi kama kawa usisahau sweta. then sheria za pale ni kama za sekondari vile na walinzi getini mchana ni wanachuo wenyewe jiandae kushika zamu ya lindo.
 
Ni chuo kizuri nmesoma pale 2007-2009 ukifika moshi panda gar za kuelekea marangu ama kilema,ila za kilema ndo saf cz utashukia getin kabsa! Mengineyo utayapata kwenye joining instruction ukiipata! Then pale ni diploma!
 
Nimesoma Pale, Hakuna Grade A. ni diploma tu. jiandae kwenda kupata elimu sahihi katika mazingira sahihi. baridi kama kawa usisahau sweta. then sheria za pale ni kama za sekondari vile na walinzi getini mchana ni wanachuo wenyewe jiandae kushika zamu ya lindo.

umemalza mwaka gan?
 
Back
Top Bottom