Bagrameshi
Senior Member
- Jun 22, 2012
- 131
- 43
Kipo Marangu mkoani Kilimanjaro,kilometa chache kabla ya kufika KINAPA.Mengineyo sijui.
Ndugu hujajitambulsha upo mkoa upi ili upate msaada vizuri hata hivyo ukifika moshi mjini panda daladala zinazokwenda Kilema watakushusha getini,hayo mengine utayapata huko chuoniNaomba mwenye kujua zaidi Chuo cha Ualimu Marangu kiko wapi na mahitaji ya muhimu ya kwenda yayo.
Nimechaguliwa stashahada ya ualimu shule za msingi. Mwenye kujua kuripoti tarehe ngapi.
naombeni msaada
Marangu ni Ulaya...
Ni Chuo kizuri sana..
hayo ni kusoma tu muelekeze na social lyf kama uchumi pale au kwa tecla na pengnepo. kusoma ni pamoja social activity
Kwa Tekla au kwa Clara mkuu...?
kwa clara chief
Nimesoma Pale, Hakuna Grade A. ni diploma tu. jiandae kwenda kupata elimu sahihi katika mazingira sahihi. baridi kama kawa usisahau sweta. then sheria za pale ni kama za sekondari vile na walinzi getini mchana ni wanachuo wenyewe jiandae kushika zamu ya lindo.