Amani iwe kwako mwanaJF unayesoma uzi huu. Mahitaji 1. Bamia mbichi 2 (zisizokomaa) 2. Bilauri ya maji (nusu lita) Maelekezo Safisha bamia kwa maji safi, kisha zikatekate vipande. Unaweza kuzichana katikati mara nne ili ukizikatakata zionekane kama vibanzi vya chips. Tumbukiza vipande vya...