Naomba kufahamu kuhusu Harambee ya kuchangia Ndanda Sekondari

FUNGO J.N

New Member
Joined
Jul 11, 2014
Posts
2
Reaction score
0
Jamani wanandanda eti kutakuwa na harambee ya kuchangia ndanda sekondari na kama ipo je itafanyika wapi? lini? na utaratibu wake ukoje jaman,naomba kuwasilisha
 
Ndanda boys ...EGM one hapa.....sikuwah sikia hii mwanzo...ngoja nifuatilie
 
jamani wanandanda eti kutakuwa na harambee ya kuchangia ndanda sekondari na kama ipo je itafanyika wapi? lini? na utaratibu wake ukoje jaman,naomba kuwasilisha


Kuchangia ili iwejewe ?
Ufafanuzi please !
 
Nenden Mkombozi bank wanatoa fedha za escrow bure
 
Kwa taarifa mimi EGM 2008,this month nilienda kuchukua transcript yangu mkuu wa shule ikaniambia mwaka ujao in february kutakuwa na changizo hilo.jamaan mkuu wa shule yule ni mkarimu huwezi amini.hakika nilimpa details zangu ili muda ukifika wanitafute.
 

Huyo mkuu anaitwa saimon morega mongate...double m...Hahaha kwenye suala zima la academic...jamaa ni shidaa hataki mchezo
 
Mwiteni mgeni rasmi awe Anna tibaijuka ana helanying za kusaidia shule
 
Nilimaliza Ndanda High school (PCB) kipindi hicho mkuu wa shule akiwa Rulukila.Kama ni kweli nitachangia.
 
Nilimaliza Ndanda High school (PCB) kipindi hicho mkuu wa shule akiwa Rulukila.Kama ni kweli nitachangia.

Rulukila alitoka akaja david Joseph sowan(r.i.p)..and now saimon mongate
 
Nilimaliza Mkuu wa Shule akiitwa Mlaponi (Kauzu mbaya) baadae akaja Milinga japo hakudumu sana. Nitachangia endapo tu mfumo wa kiutawala/Serikali utabadilika. Yani Siwezi changia pesa zangu kwenye mirija ya majizi. Hata Mkapa kasoma Ndanda hivyo abebe deni/michango ya shule.
 
Rulukila alitoka akaja david Joseph sowan(r.i.p)..and now saimon mongate

duh mbona hii shule wakuu wanabadilika ivo au kuna jini pale. Nakumbuka . J. Sowani alikua mwl wangu wa english enzi izo . H. G. L mwaka 2008 kumbe alikuja kupewa ukuu duh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…