Naomba kufahamu kuhusu hii project ya HAAARP

Sehemu ya afrika inayoweza kukumbwa na tsunami ni mini kama Sudan na somalia pia Capetown
Sio mini migumu kama hii huku isiyo tepe wala. Ukanda unaoweza athuriwa na bahar
 
Mkuu naomba unitumie huo uzi kupitia email address kama Inawezekana.
 
Unabadir tu ID
====×====×==
So Hii Project nayo ni conspiracy kama Kutoboka ozone layer?
Nimesettle na hii mkuu from now on!.. Lakini Ozone layer kutoboka ni matokeo ya shughuli mbalimbali hiyo project yenyewe ni kumanipulate matter zikaact as planned sio kudestroy!.. So ikifanikiwa in good hands naona ina faida lakini ikitumika kwa mambo mabaya tutateseka!..
 
Mkuu Da vinci nipo na heshima sana kwako. Kwa mijibu wa simulizi ni kwamba HAAAARP ni mpango wa kupunguza watu duniani kwa kuwatengenezea majanga kama ulivyoeleza hapo juu. Lakini hii i conspiracy theoary tu. Hii kitu aliwahi kuieleza Jamaa m1 juve2012 kwenye ule uzi ulioshika wa C.T.U ukienda kwa tittle ya wajue Rockefeller family

Wengine wanaenda mbali kwa kusema eti dunia inatakiwa ibaki na watu milioni 500 toka hawa wa sasa zaidi ya bilioni 6. Ukifikiria sana utaona hivi vitu haviwezekani.

Kuhusu kuandika Illuminat kinyume eti itakufikisha kwenye state house huo ni uongo. Hiyo website inamilikiwa na jamaa m1 hivi nikipata muda nitakuwekea hapa.
 
asante kwa huu uchambuzi mkuu
 
HAAARP, daah kunamengi zaidi ya haya wakuu, kuna project nyingi Sana zinaendelea chini chini, nyingine ukizisikia unaweza kuishi bila amani mda otee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…