crusader_jr
JF-Expert Member
- Sep 16, 2019
- 994
- 851
umetisha mkuu asante kwa ufahamu ila niko vibaya na kicheko πππUle moshi huwa ni wa bangi hivyo msanii avutaye bangi akipanda jukwaani automatic unafuka.
Mashine yake huitwa bangi sensor.
Yes shukrani kwa elimu mkuu, ni kweli kabisaTanayzer, kwa kuongezea tu kuna baadhi ya fog mashine znawekewa kiminiko chenye marashi(harufu) hivi inasaidia pia kupunguza harufu mbaya kama kuna msongamano wa watu...
Pia kuna zile taa zinaandika maneno kupitia mwanga wake...sasa bila ule moshi maneno hayawezi kusomeka....
Pia zinasaidia kung'arisha muonekano wa stendi au mavazi ya watu...hivi hata ukikaa nguo chafu inaonekana upo bling