Abraham Lincolnn
JF-Expert Member
- Apr 12, 2018
- 2,754
- 4,975
Weka hela afu leta mrejesho, mbona simpo tu.Kuna yeyote mwenye ushahidi?
Mtoa mada msikilize huyu kwa makiniWeka hela afu leta mrejesho, mbona simpo tu.
SUBUTU UTAENJOY.Wakuu salam
Kuna hii Application mpya imeingia mjini naona watu wanajiunga kwa kasi pia ninasikia wanapiga mno pesa.Kwamba ukiweka milioni moja inaongezeka kwa wastani wa 2.5% kila siku kwa hiyo baada ya siku moja unakuwa na ongezeko la 2.5% ma unaweza kuweka na kutoa muda wowote.Hii imekaaje?
Naomba kufahamishwa zaidi kwa wale wanaofahamu hii kitu.
Ahsante
Mafaler hawajawahi kuisha duniani.