Naomba kufahamu kuhusu kampuni ya GODTEC

Naomba kufahamu kuhusu kampuni ya GODTEC

Kashishi yetu

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2014
Posts
3,509
Reaction score
3,741
Ndugu Wanajamiiforum,

Salamu sana.

Kwa ufupi yupo ndugu yangu ndo ameanza kuhudhuria mafunzo ya biashara na anatakiwa awe na smartphone,
Kisha kazi Yake ITAKUWA kuwasajili wajasiliamali.

mwisho was mwezi anapata laki Saba Hadi milioni moja.

Sasa nimeingiwa na wasi wasi mkubwa wa utapeli.

Nimeona nisitende dhambi , Ndo maana nimewauliza kwa anayejua Hili kampuni na. mwenendo wake .
 
GOD ....TEC....ukishaona Mungu anahusishwa katika jambo..ujue 99% ni utapeli unafuatia
 
Back
Top Bottom