MarianaTrench
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 1,212
- 941
Habari za Jumapili wanaJF. Kichwa cha habari hapo juu cha husika. Ningependa kufahamu juu ya kilimo cha hili tunda la tikiti maji hasa yale ambayo yapo kama kijani na mistari myeupe namaanisha yale ambayo si kijani kama cha Tanesco.
Mambo kama aina ya udongo...aina za mbegu...kiasi cha maji na kama hayo.
Ahsanteni.
Mambo kama aina ya udongo...aina za mbegu...kiasi cha maji na kama hayo.
Ahsanteni.