Naomba kufahamu kuhusu magari haya

Naomba kufahamu kuhusu magari haya

Ras wakambo

Member
Joined
Nov 22, 2011
Posts
71
Reaction score
6
NDUGU ZANGU WANA JF, NAOMBENI UZOEFU KWA MWENYE UELEWA WA MAGARI YAFUATAYO,
1.. NISSAN PATROL YENYE ENGINE TD42
2..TOYOTA PRADO YENYE 2700 CC 3RZ ENGINE
3..LANDROVER DEFENDER TDI 2500 CC
4..LANDCRUISER VX LIMITED IHZ ENGINE CC KUANZIA 3000...
KATI YAO GARI LIPI NI IMARA ZAIDI YA LINGINE, UZURI WAKE, STABILITY, FUEL ECONOMY, PIA HATA WEAKNESS ZA KILA MOJA TAFADHALI
 
Mkuu labda ungeweka wazi,aina ya kazi/safari yako,yaani unataka kutumia gari kwa matumizi gani? mfano safari ndefu,safari za mijini tuu e.t.c hapo ingekua rahisi kukushauri kutokana na hitaji lako.
 
Mkuu labda ungeweka wazi,aina ya kazi/safari yako,yaani unataka kutumia gari kwa matumizi gani? mfano safari ndefu,safari za mijini tuu e.t.c hapo ingekua rahisi kukushauri kutokana na hitaji lako.
ASANTE MKUU HII NI KWA MATUMIZI YA SAFARI NDEFU KARIBIA KILA MWEZI MARA MBILI HADI TATU ARUSHA - MBEYA, ARUSHA -DAR NA DAR - MBEYA
 
ASANTE MKUU HII NI KWA MATUMIZI YA SAFARI NDEFU KARIBIA KILA MWEZI MARA MBILI HADI TATU ARUSHA - MBEYA, ARUSHA -DAR NA DAR - MBEYA
Ushauri wangu mimi naona chagua kati ya namba 2 au 3 yatakufaa zaidi hayo.
 
Nissan Patrol yenye engine ya TD 42 ipo poa sana hasa kwa safari ndefu na durability na pia Land Cruiser GX yenye engine ya 1hz ipo poa au VX yenye 1HDT pia sio mbaya sana kwa Safari ndefu. Binafsi napenda sana gari za Diesel kwa Safari ndefu hasa upate Manual Transmission utaenjoy sana
 
Umemaliza hakuna zaidi NISSAN PATROL BORA zaidi na stability yake barabani ni kubwa sana kuliko Land Cruiser
 
Nissan Patrol yenye engine ya TD 42 ipo poa sana hasa kwa safari ndefu na durability na pia Land Cruiser GX yenye engine ya 1hz ipo poa au VX yenye 1HDT pia sio mbaya sana kwa Safari ndefu. Binafsi napenda sana gari za Diesel kwa Safari ndefu hasa upate Manual Transmission utaenjoy sana
asante sana ndugu yangu...in case nmepata automatic transmission inaezekana kubadili iwe manual?
 
sawa sawa mzee mzima nmekuelewa, je kuna tofauti ya patrol na safari?
Navyojua mm HAPANA mara nyingi short chasis yake ndio ina label ya Safari.

Nissan Safari OR Patrol - Which One Is Better
Nissan Patrol
The Nissan Patrol is an impressive vehicle. The name “Patrol” reflects intention behind creating this vehicle. The car Nissan Patrol was first offered in 1960 to the market. And since 1980 the car was sold in Japan under the Name of Nissan Safari. The first series took the assembly line in 1951, which is the vehicle that comes with ladder frame and rigid axles equipped with all-wheel drive. Starting from 1988, with the appearance of the Nissan Patrol Y60, coil springs are used for the first time. Chukua hii ya 3000cc sbb ile 4200cc inakula mafuta compere na hii
1545479098419.png
 
asante sana ndugu yangu...in case nmepata automatic transmission inaezekana kubadili iwe manual?
Uwezekano upo ila sikushauri kwa hapa bongo sidhani kama wanaweza kuirudisha katika ufanisi wake
 
Navyojua mm HAPANA mara nyingi short chasis yake ndio ina label ya Safari.

Nissan Safari OR Patrol - Which One Is Better
Nissan Patrol
The Nissan Patrol is an impressive vehicle. The name “Patrol” reflects intention behind creating this vehicle. The car Nissan Patrol was first offered in 1960 to the market. And since 1980 the car was sold in Japan under the Name of Nissan Safari. The first series took the assembly line in 1951, which is the vehicle that comes with ladder frame and rigid axles equipped with all-wheel drive. Starting from 1988, with the appearance of the Nissan Patrol Y60, coil springs are used for the first time. Chukua hii ya 3000cc sbb ile 4200cc inakula mafuta compere na hiiView attachment 974485
Engine code yake ni ipi? Y60?
 
kitu kikiwa bora si lazima fuel economy iwe level ...ningekutajia 100series LC ila ushaweka kigezo cha mafuta basi pambana na defender
 
kitu kikiwa bora si lazima fuel economy iwe level ...ningekutajia 100series LC ila ushaweka kigezo cha mafuta basi pambana na defender
Hapana man unaweza kushare kitu kizuri sijui vitu vingi vya magari mzee mzima
 
Back
Top Bottom