Ras wakambo
Member
- Nov 22, 2011
- 71
- 6
ASANTE MKUU HII NI KWA MATUMIZI YA SAFARI NDEFU KARIBIA KILA MWEZI MARA MBILI HADI TATU ARUSHA - MBEYA, ARUSHA -DAR NA DAR - MBEYAMkuu labda ungeweka wazi,aina ya kazi/safari yako,yaani unataka kutumia gari kwa matumizi gani? mfano safari ndefu,safari za mijini tuu e.t.c hapo ingekua rahisi kukushauri kutokana na hitaji lako.
Ushauri wangu mimi naona chagua kati ya namba 2 au 3 yatakufaa zaidi hayo.ASANTE MKUU HII NI KWA MATUMIZI YA SAFARI NDEFU KARIBIA KILA MWEZI MARA MBILI HADI TATU ARUSHA - MBEYA, ARUSHA -DAR NA DAR - MBEYA
OKAY VIPI STRENGTHS AND WEAKNESSES ZA CHAGUO ULILONICHAGULIA TAFADHALIUshauri wangu mimi naona chagua kati ya namba 2 au 3 yatakufaa zaidi hayo.
Umemaliza hakuna zaidi NISSAN PATROL BORA zaidi na stability yake barabani ni kubwa sana kuliko Land CruiserNissan Patrol yenye engine ya TD 42 ipo poa sana hasa kwa safari ndefu na durability na pia Land Cruiser GX yenye engine ya 1hz ipo poa au VX yenye 1HDT pia sio mbaya sana kwa Safari ndefu. Binafsi napenda sana gari za Diesel kwa Safari ndefu hasa upate Manual Transmission utaenjoy sana
asante sana ndugu yangu...in case nmepata automatic transmission inaezekana kubadili iwe manual?Nissan Patrol yenye engine ya TD 42 ipo poa sana hasa kwa safari ndefu na durability na pia Land Cruiser GX yenye engine ya 1hz ipo poa au VX yenye 1HDT pia sio mbaya sana kwa Safari ndefu. Binafsi napenda sana gari za Diesel kwa Safari ndefu hasa upate Manual Transmission utaenjoy sana
sawa sawa mzee mzima nmekuelewa, je kuna tofauti ya patrol na safari?Umemaliza hakuna zaidi NISSAN PATROL BORA zaidi na stability yake barabani ni kubwa sana kuliko Land Cruiser
Navyojua mm HAPANA mara nyingi short chasis yake ndio ina label ya Safari.sawa sawa mzee mzima nmekuelewa, je kuna tofauti ya patrol na safari?
Uwezekano upo ila sikushauri kwa hapa bongo sidhani kama wanaweza kuirudisha katika ufanisi wakeasante sana ndugu yangu...in case nmepata automatic transmission inaezekana kubadili iwe manual?
Sina utaalamu sana kwa mambo hayo ila ningekushauri uagize manual kabisa kuliko kubadili gear box.asante sana ndugu yangu...in case nmepata automatic transmission inaezekana kubadili iwe manual?
Sawa sawa mzee mkubwa nmekuelewa vizuri bila kupepesaUwezekano upo ila sikushauri kwa hapa bongo sidhani kama wanaweza kuirudisha katika ufanisi wake
Asante sana ndugu nmekuelewaSina utaalamu sana kwa mambo hayo ila ningekushauri uagize manual kabisa kuliko kubadili gear box.
Engine code yake ni ipi? Y60?Navyojua mm HAPANA mara nyingi short chasis yake ndio ina label ya Safari.
Nissan Safari OR Patrol - Which One Is Better
Nissan Patrol
The Nissan Patrol is an impressive vehicle. The name “Patrol” reflects intention behind creating this vehicle. The car Nissan Patrol was first offered in 1960 to the market. And since 1980 the car was sold in Japan under the Name of Nissan Safari. The first series took the assembly line in 1951, which is the vehicle that comes with ladder frame and rigid axles equipped with all-wheel drive. Starting from 1988, with the appearance of the Nissan Patrol Y60, coil springs are used for the first time. Chukua hii ya 3000cc sbb ile 4200cc inakula mafuta compere na hiiView attachment 974485
Hapana man unaweza kushare kitu kizuri sijui vitu vingi vya magari mzee mzimakitu kikiwa bora si lazima fuel economy iwe level ...ningekutajia 100series LC ila ushaweka kigezo cha mafuta basi pambana na defender