Naomba kufahamu kuhusu mfumo mpya wa ugawaji madaraja?

Naomba kufahamu kuhusu mfumo mpya wa ugawaji madaraja?

Issah festo

Member
Joined
Dec 13, 2014
Posts
31
Reaction score
11
Hivi kwa mfumo huu mpya wa ugawaji madaraja walioutumia baraza la mitihani 2014-2015 (GPA).. Je kwa advance watahitji grade gani?
 
Suala la combination ku balance lipo pale. Kulingana na mahitaji ya comb husika nadhani c,b na a zinahusika.
 
Back
Top Bottom