I Issah festo Member Joined Dec 13, 2014 Posts 31 Reaction score 11 Feb 20, 2015 #1 Hivi kwa mfumo huu mpya wa ugawaji madaraja walioutumia baraza la mitihani 2014-2015 (GPA).. Je kwa advance watahitji grade gani?
Hivi kwa mfumo huu mpya wa ugawaji madaraja walioutumia baraza la mitihani 2014-2015 (GPA).. Je kwa advance watahitji grade gani?
Ighombe JF-Expert Member Joined Feb 12, 2014 Posts 1,181 Reaction score 675 Feb 20, 2015 #2 Suala la combination ku balance lipo pale. Kulingana na mahitaji ya comb husika nadhani c,b na a zinahusika.
Suala la combination ku balance lipo pale. Kulingana na mahitaji ya comb husika nadhani c,b na a zinahusika.
ENANTIOMER JF-Expert Member Joined Sep 22, 2014 Posts 1,419 Reaction score 804 Feb 21, 2015 #3 Uwe na 3 credits. Credit ni C, B, B+ na A!