Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Ukiacha Chadema , mimi pia ni mpenzi wa muziki wa Rhumba kama walivyo matajiri wenzangu akina Joka Kabengele na wengineoMkuu watu bado wanakushangaa kuwa ni wewe kweli au mwingine tulitegemea Uzi uwe wa chadema , hlo ni moja la pili wako busy na amapiano , miziki ya lingala tuwaite akina Mshana Jr
hongera kwa kusumbukaSimjui vizuri huyo mtu lakini lakini naifahamu hiyo bendi na baadhi ya vibao vyake kama 'dede', 'zekira' na 'mukaji' vinanisumbua hadi leo. Ile album yao ya nkolo mboka vol.1 ilisumbua tana familia yetu
Wamekuja wachacheNgoja waje kukupa muongozo...
Eeh?!!!hongera kwa kusumbuka
Alimeza chatu mzima bila kumpaka chimvi wala kumpika, ndiye msaidizi wakeView attachment 1896325
Huyu jamaa ni Kiongozi wa miaka mingi sana wa bendi ya Zaiko langalanga Nkolomboka (chuo cha wanamuziki wa congo), hii ni kwa sababu almost 95% ya wanamuziki wote wenye mafanikio nchini Congo wamepitia kwenye bendi hii.
Je, Mtu huyu ni nani na amewezaje kudumu kwenye game bila kutetereka kwa miaka yote hiyo?
Nakala : Lukas Mobutu
Zaiko Langalanga bado ipo na inapiga kazi Kama kawa.Tatzo hata ukigoogle wasanii wa zaire ile ni ngumu mno kupata updates zao.
Hata mimi huwa nina kiu sana ya kujua taarifa za akina shimita
sijui wapo wapi wanafanya nn.
na hivi french sijui ndo bas tena,
Presumably, kundi la zaiko litakuwa limesambaratika na halipo.
Hata yupo nyoka longo & co watakuwa wamezeeka sana.
Tatzo hata ukigoogle wasanii wa zaire ile ni ngumu mno kupata updates zao.
Hata mimi huwa nina kiu sana ya kujua taarifa za akina shimita
sijui wapo wapi wanafanya nn.
na hivi french sijui ndo bas tena,
Presumably, kundi la zaiko litakuwa limesambaratika na halipo.
Hata yupo nyoka longo & co watakuwa wamezeeka sana.
Mswali Mtume mkuuNyoka longo mbona amefariki miaka mingi iliyopita
Nyoka longo mbona amefariki miaka mingi iliyopita
Mswali Mtume mkuu