Adlo
Senior Member
- Jul 15, 2022
- 197
- 240
HABARI Wana jamvi, napenda kujua zaidi kuhusu sakata la escrow, kwa mtu kama Mimi ambaye nimeishia kusikia sikia tu, MPAKA kupelekea baadhi ya viongozi kujiudhuru, na kumbuka aliyekuwa mbunge wa kagera (nimemsahau kina) ila alikuwa mwanamke alistaafu ubunge huku akizidi kupinga kujihusisha na sakata hilo,naomba kuwasilisha