Naomba kufahamu kuhusu shule za awali ?

Naomba kufahamu kuhusu shule za awali ?

MwendaOmo

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2013
Posts
774
Reaction score
723
Ningependa kujua shule ya awali huwa na miaka mingapi?

swali la pili - na mtu huingia akiwa na miaka ngapi?

Kuna silabasi yoyote au ni kila shule kujitegemea?

Naomba majibu. Na msiwe wachoyo wa kunipa majibu tafadhali.
 
Nahitaji majibu wadau. Mwache kusoma uzi bila ya kujibu
 
kwa elimu ya awali. ni miaka mitatu.
mtoto anaanza akiwa na miaka mitatu..
kwa suala la silabasi ipo kwa shule za serikari. lakin za binafsi mara nyingi wanakuwa na silabasi zao.
kwa uelewa wangu..ni hayo tu
 
Back
Top Bottom