M MwendaOmo JF-Expert Member Joined Dec 16, 2013 Posts 774 Reaction score 723 Jan 15, 2015 #1 Ningependa kujua shule ya awali huwa na miaka mingapi? swali la pili - na mtu huingia akiwa na miaka ngapi? Kuna silabasi yoyote au ni kila shule kujitegemea? Naomba majibu. Na msiwe wachoyo wa kunipa majibu tafadhali.
Ningependa kujua shule ya awali huwa na miaka mingapi? swali la pili - na mtu huingia akiwa na miaka ngapi? Kuna silabasi yoyote au ni kila shule kujitegemea? Naomba majibu. Na msiwe wachoyo wa kunipa majibu tafadhali.
M MwendaOmo JF-Expert Member Joined Dec 16, 2013 Posts 774 Reaction score 723 Jan 15, 2015 Thread starter #2 Nahitaji majibu wadau. Mwache kusoma uzi bila ya kujibu
Hollyreath Senior Member Joined Apr 22, 2013 Posts 126 Reaction score 12 Jan 15, 2015 #3 kwa elimu ya awali. ni miaka mitatu. mtoto anaanza akiwa na miaka mitatu.. kwa suala la silabasi ipo kwa shule za serikari. lakin za binafsi mara nyingi wanakuwa na silabasi zao. kwa uelewa wangu..ni hayo tu
kwa elimu ya awali. ni miaka mitatu. mtoto anaanza akiwa na miaka mitatu.. kwa suala la silabasi ipo kwa shule za serikari. lakin za binafsi mara nyingi wanakuwa na silabasi zao. kwa uelewa wangu..ni hayo tu