Mnahangaika na CPA ya Tanzania ambayo mtaani inazidi kudharauliwa kila siku! Watu wananunua tu siku hizi; NBAA wenyewe syllabus wana-copy ACCA na/au CIMA. Kwa nini usiifanye ACCA , CIMA au any other internationally recognised qualification? Kuchukua loan usome CPA ya nchi hii ni poor investment!
Habari. ni kweli umesema kuhusu cost. ila kuhusu kutambulika, cpa ya marekani wanaitambua, ila cpa ya bongo inajulikana east Africa tu. ukisoma ACCA hlf ukataka kuchukua cpa ya bongo unapata exemption mitihan yte kasoro advanced taxation tu, ila unapopiga cpa ya bongo ukirudi acca unakua na mzigo wa mitihani kibao, kama 7 hivi. ila kama ulivosema kama huna uwezo piga tu hyo hyo cpa ya bongo, bora kitu kuliko kukosa kitu, inafaida pia hapa nchini kwetu, ila ukizama nje hamna kitu.
Gharama za kusoma CPA ni 755,000 so hiyo Loan ya kazi gani
Wenye uwezo wa kumudu ACCA cost ni wachache, na hata CPA inatambulika kimataifa pia wacha ku complicate mambo
Certified Public Accountantcpa ndio nn?
asante mkuuCertified Public Accountant
Hivi kwa mikoa kama Arusha ni wapi mtu unaweza kupata review classes za ACCA?
nahitaji mkuu tafadhaliArusha zipo review classes za ACCA, kuna mhindi mmoja anaitwa Abassi Sherali alikuwa anafundisha pale Financial Training Centre (FTC) but alifungua review yake huko arusha...sijafaham vizuri centre yake inaitwaje but kama ukihitaji just let me know ili nikutafutie mawasiliano yake!!!
Okay just give me some minutes, I will come to you soon with the number!!!nahitaji mkuu tafadhali
Ntakushukuru mno mkuuOkay just give me some minutes, I will come to you soon with the number!!!