Naomba kufahamu kuhusu Toyota Ractis new model

mzizi1

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2017
Posts
265
Reaction score
703
Habari zenu wakuu, namshukuru mwenyezi Mungu panapo majaaliwa mwezi wa nane mwanzoni nitaipokea hii gari ambayo nimekua na ndoto nayo kwa muda sasa. Kiukweli sijawahi kuendesha gari ndo nakula shule kwa sasa.

Naomba nipate nondo zaidi kwa wataalamu wa gari jinsi ya kuishi nalo na kulifanya lidumu zaidi
Natanguliza shukran

Gari ni ya mwaka 2011 engine ni 1NR FE with CVT transmission.
Cc 1300,View attachment 2647614View attachment 2647615
 
Achana na hiyo injin ndogo haina nguvu.
Chukua yenye 1Nz hakika utafurahia show. Jiran anayo na last week Katoka Dar to Mbeya na anefika salama gar iko pouwah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…