Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
habarini wadau,eti hivi ni vigezo gani hutumika kwenye kutoa tuzo ya ballon dor kwa mchezaji.
Awe anachezea klabu mojawapo ya hispania
Asante sana mheshimiwa Jamal malinziFIFA wameweka utaratibu wa makocha wote 209 wa timu za Taifa duniani na Team captains wao kupiga kura kuchagua mchezaji bora wa dunia ambaye baadae anatunukiwa hiyo tuzo ballon dor.Kwetu waliopiga kura ni Kocha Maart Nooij na Haroub Nadir "Cannavaro". Makocha na wachezaji bila shaka wanaangalia mchango wa mhusika katika klabu yake na katika timu yake ya Taifa.
hyo mbna ktambo sana,takriban miaka 20 imepita,pesa imeshika hatamu,uchakachuzi kila sehemuZidane mwaka 98 alikuwa anachezea hispania.? De lima mwaka 96 alikuwa hispania.?
hyo mbna ktambo sana,takriban miaka 20 imepita,pesa imeshika hatamu,uchakachuzi kila sehemu
Na ronaldo 2008 alikua anachezea hispania.?hyo mbna ktambo sana,takriban miaka 20 imepita,pesa imeshika hatamu,uchakachuzi kila sehemu
Ricardo kaka' 2007 alikuwa anachezea hispania.?
tangu umeingia ujinga wa messi na ronaldo,sioni vigezo vyovyoteNa ronaldo 2008 alikua anachezea hispania.?