Naomba kufahamu kuhusu tuzo ya Ballon d'Or

mbiza

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2014
Posts
529
Reaction score
135
Habarini wadau, eti hivi ni vigezo gani hutumika kwenye kutoa tuzo ya ballon dor kwa mchezaji.
 
Kigezo cha kwanza anaepewa tunzo awe anacheza mpira wa miguu,nyingine?
 
Jitihada anazozionesha kuisadia timu yake yaani kubeba timu. Na wanaomuchagua mi makocha na manaodha kwa kupiga kura
 
Awe anachezea klabu mojawapo ya hispania
 
habarini wadau,eti hivi ni vigezo gani hutumika kwenye kutoa tuzo ya ballon dor kwa mchezaji.

FIFA wameweka utaratibu wa makocha wote 209 wa timu za Taifa duniani na Team captains wao kupiga kura kuchagua mchezaji bora wa dunia ambaye baadae anatunukiwa hiyo tuzo ballon dor.Kwetu waliopiga kura ni Kocha Maart Nooij na Haroub Nadir "Cannavaro". Makocha na wachezaji bila shaka wanaangalia mchango wa mhusika katika klabu yake na katika timu yake ya Taifa.
 
Asante sana mheshimiwa Jamal malinzi
 
Kimsingi hawana vigezo zaidi ya pesa za mdhamin wa mchezaj mmojawapo,awe puma,nike au adidas,jiulize 2010 kati ya messi na xavi nani alistahik hyo tuzo?!..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…