Naomba kufahamu kuhusu VW Golf

Naomba kufahamu kuhusu VW Golf

marta

Member
Joined
Nov 14, 2021
Posts
5
Reaction score
5
Kwa mwenye uzoefu au idea na gari za VW-Golf naomba kufahamishwa kama ni reliable car yaani kama zinapiga kazi vizuri au garage mara kwa mara na fuel consumption yake pia au bora nibaki tu huku huku kwenye Toyota
 
Kama wewe ni wale wa kuendesha gari mpaka lizime ndio uite fundi au ulikokote liende gereji basi kaa mbali na gari za mzungu.

Kama wewe huwezi kufanya Preventive maintenance kwa wakati kaa mbali na gari yoyote ya mzungu.

Kama gari zako huwa unazifanyia ujanja ujanja kwenye maintenance kaa mbali na gari za wazungu maana kuna siku zitakulaza porini.

Kama wewe ni mtu wa kupenda spea za bei rahisi achana na gari za mzungu.

Kama mazingira unayokaa barabara siyo rafiki angalia ground clearance ya hiyo gari maana gari nyingi za wazungu zipo chini with exception kwenye SUV.

Kwa kifupi gari gari nyingi sasa hivi zinakuwa na mifumo mingi hata kama ni gari ya kijapani.

Hebu angalia report hii hapa chini👇🏾

Screenshot_2021-11-15-09-26-26-345_com.us.thinkdiag.plus.jpg

Ni jana tu nimetoka kupima kurekebisha ishu ya glow plug(heater) kwenye Nissan Navara D40 ya mwaka 2013.

Hapo ukiangalia code inasoma Glow plug relay ila aliyewapimia mwanzo aliwaambia heaters zina shida.

Imeshawapasua sana vichwa. Wamebadili heaters mara mbili ila hiyo ishu ikawa bado ipo.

Jana tumeenda kupima tukacheck relay yake tukiicomand kwa mashine ikae ON hairespond chochote, kuja kupima umeme haufiki kwenye relay.

Kucheck fuse yake imekata.

Sasa imagine fuse tu imewapasua watu kichwa muda mrefu. Na hiyo ni Nissan ya South Africa.
 
View attachment 2011002

Ahaa nimekupata maana yake kama uko vzr kwa preventive maintainance unatoboa nayo vzr bila shida, sasa izo maintainance ni za mara kwa mara au ukifanya unasahau unatulia
 
Mjepu anataka SIFA (reliability).

Mzungu anataka HESHIMA (power, safety, comfortability).

Lakini kama bank account yako ni 'tia mchuzi pangu pakavu'... cha mzungu kitakuvua nguo.

-Kaveli-
Ahaa kwa hiyo if reliability is a priority japanese lkn kama natafuta comfortability na mengine ni germany, ambapo apa kwa mjeruman lazima nitumie garama za mara kwa mara kwa ajili ya maintainance in case ya vw golf
 
That's it. Kama unahitaji power, safety, na comfortability, nenda kwa mzungu.

-Kaveli-
 
Hivi kati ya VW Polo na Golf, ipi ipo nafuu kwenye maintenance cost?

-Kaveli-
Golf GTi iko juu kidogo hata engine yake ni kubwa CC 1990....
Speed 300 km/h alafu yenyewe ina turbocharger,hii gari ina uwezo Mkubwa Sana hata Mimi pia naipigia mahesabu ya kununua lkn mpaka niwe na gari nyingine kama backup hasa Toyota
 
Ahaa nimekupata maana yake kama uko vzr kwa preventive maintainance unatoboa nayo vzr bila shida, sasa izo maintainance ni za mara kwa mara au ukifanya unasahau unatulia

Utafanya ukasahau kama tu hizo maintenance umefanya kwa vitu original kama ni vya bei rahisi mambo hayatakuwa hivo.

Kuna watu wanaendesha gari kama hizo kwa kipindi kirefu na maintenance wanazofanya ni za kawaida.,
 
Golf GTi iko juu kidogo hata engine yake ni kubwa CC 1990....
Speed 300 km/h alafu yenyewe ina turbocharger,hii gari ina uwezo Mkubwa Sana hata Mimi pia naipigia mahesabu ya kununua lkn mpaka niwe na gari nyingine kama backup hasa Toyota

Yep. Ukimiliki chuma ya mzungu, ni muhimu kuwa na mjepu as back up.

Chuma za mjerumani ni heshima.

-Kaveli-
 
Utafanya ukasahau kama tu hizo maintenance umefanya kwa vitu original kama ni vya bei rahisi mambo hayatakuwa hivo.

Kuna watu wanaendesha gari kama hizo kwa kipindi kirefu na maintenance wanazofanya ni za kawaida.,
oky nimewapata wakuu
 
Back
Top Bottom