Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ALUMNI sio ALUMINHabari za saizi wakuu.
Naomba kufahamu maana ya hilo neno mara nyingi hutumika Kwa wasomi waliosoma chuo kikuu cha Daressalaam.
ALUMNI sio ALUMIN
Umeshajibu mwenyewe, yaani ni wanafunzi waliowahi soma kwenye chuo hicho, si lazima kiwe UDSM, ni kwa chuo chochote, unaweza sema waliowahi kuwa WANACHUO
Hahahahaaaaa! Haya bana, hongera sana!Alumni wa TEKU au CBE hata haipendezi!! Kitu, Havard Alumni!
hahahahahhaAlumni wa TEKU au CBE hata haipendezi!! Kitu, Havard Alumni!
Kwa ufafanuzi zaidi...Alumni ni wingi. Alumnae ni umoja. Halafu utamkuta msomi anasema mimi ni alumni wa ....
Kwahiyo wanavyosema UDSM Alumni ina maana wanawanyanyapaa Alumna?Kwa ufafanuzi zaidi...
Alumni ni wingi wa alumnus
Alumnae ni wingi wa alumna
Alumna inatumika kwa jinsia ya ki-ke
Alumnus inatumika kwa jinsia ya ki-ume
Maneno haya yote yanatoka lugha ya Kilatin
Hapana, ni kwa sababu wengi tu hawajui. Ni kosa tu la mazoea.Kwahiyo wanavyosema UDSM Alumni ina maana wanawanyanyapaa Alumna?
hahahaahahahhaaAlumnae wa Zoom Polytechnic
Asante kwa ufafanuzKwa ufafanuzi zaidi...
Alumni ni wingi wa alumnus
Alumnae ni wingi wa alumna
Alumna inatumika kwa jinsia ya ki-ke
Alumnus inatumika kwa jinsia ya ki-ume
Maneno haya yote yanatoka lugha ya Kilatin