Live circuit
Senior Member
- Mar 11, 2023
- 124
- 365
Habari Wana jamvi, tunashukuru Mungu kwa kuamka salama na kwa wale wenye changamoto mbalimbali tunawaombea kwa Mungu awape wepesi kuvuka kipind hiko kigumu,
Back to my topic.
Kuna nafasi 8000 zimetoka kwa ajir ya masomo ya ufundi kama hujaziona waweza tembelea www.kazi.go.tz
Nina mdogo Wangu alizingua form 4 nataka aende akasomee kozi ya ufundi wa zana za kilimo na mitambo chuo kipo manyara, naomba kufahamu 1,2,3 kuhusu hii kozi ya ufundi zana za kilimo na mitambo.
Kama Kuna mtu alishawahi pitia pitia anaweza tia neno ili nijue kwa upana
Kozi ya pili niliopendekeza ni uendeshaji wa mitambo chuo kipo dodoma , naomba kujua ni ipi kozi nzuri kati ya hizi.
Ufundi zana za kilimo na mitambo au uendeshaji wa mitambo.
Karibu