Naomba kufahamu maeneo yanayolimwa vitunguu swaumu

Naomba kufahamu maeneo yanayolimwa vitunguu swaumu

Joined
Aug 14, 2014
Posts
11
Reaction score
3
Habarini wajasiriamali. Mimi binafsi ni mfanyakazi na mkulima.
Ninalima vitunguu maji huko Mtandika mbele ya Aljazeera. Nafurahia kulima ingawa nakabiliana na changamoto lakini nashukuru Mungu nazikabili kwa uwezo wake. kwa sasa nataka nianze survey kwa ajili ya kulima kitunguu swaumu.
Tafadhali mwenye kufahamu maeneo yanayolima zao hilo katika mikoa ya IRINGA, MOROGORO au PWANI anijulishe ile nikapate kwenda kujifunza mengi.
Asanteni sana.
 
Back
Top Bottom