Naomba kufahamu mambo kadhaa kuhusu ajira za UNHCR

Naomba kufahamu mambo kadhaa kuhusu ajira za UNHCR

Mizega

Senior Member
Joined
Feb 10, 2021
Posts
150
Reaction score
321
Mara kadhaa shirika la kuhudumia Wakimbizi UNHCR wamekuwa wakitangaza nafasi za kazi hususan kwenye field office za Kibondo, Kasulu na HQ.

Wana website yao ambayo una create account kisha unaomba. Naomba uzoefu kwa waliowahi kuitwa usaili hasa katika nafasi za HR Assistant, registration assistant n.k pia naomba kujua kama wako fair hawana upendeleo kwa ndugu zao. Na pia nijuzwe utaratibu wa ufanyikaji wa saili zao.

Ni katika kutafuta maisha kabla ya kufa.

Ahsanteni
 
Back
Top Bottom