Naomba kufahamu mambo muhimu wakati wa kutoa damu kwenye kituo cha damu salama

Naomba kufahamu mambo muhimu wakati wa kutoa damu kwenye kituo cha damu salama

wanan

Senior Member
Joined
May 11, 2011
Posts
141
Reaction score
42
Nataka kwenda kutoa damu napenda nifahamu mambo muhimu kabla ya kwenda huko. Asante!
 
Uwe na umri kuanzia miaka 18 - 60, uzito kuanzia kg 50 na angalau uwe umepata chai km ni asubuhi. Ukifika huko utapimwa uzito, presha na kiwango chako cha damu km inatosha kuchangia. Mengine ni ya kawaida utaulizwa na kujieleza.
 
Back
Top Bottom