W wanan Senior Member Joined May 11, 2011 Posts 141 Reaction score 42 Feb 12, 2015 #1 Nataka kwenda kutoa damu napenda nifahamu mambo muhimu kabla ya kwenda huko. Asante!
Mbayo wa Giika JF-Expert Member Joined Apr 9, 2014 Posts 205 Reaction score 107 Feb 12, 2015 #2 Uwe na umri kuanzia miaka 18 - 60, uzito kuanzia kg 50 na angalau uwe umepata chai km ni asubuhi. Ukifika huko utapimwa uzito, presha na kiwango chako cha damu km inatosha kuchangia. Mengine ni ya kawaida utaulizwa na kujieleza.
Uwe na umri kuanzia miaka 18 - 60, uzito kuanzia kg 50 na angalau uwe umepata chai km ni asubuhi. Ukifika huko utapimwa uzito, presha na kiwango chako cha damu km inatosha kuchangia. Mengine ni ya kawaida utaulizwa na kujieleza.