Forbes1990
JF-Expert Member
- Apr 14, 2018
- 513
- 991
Tafuta soko Kenya.
Asali inaanza kurinwa (kuvunwa) trh 01/7 hadi september ya kila mwaka, wenyewe wanaita msimu.Samahani mie nataka kujua tu kipindi gani hua ndo msimu wa asali huko tabora na Kijiji au wilaya inapopatikana kwa wingi ile original kabisaaaa, natanguliza shukran wakuu
Huyo mnunuzi ananunua hadi plastiki mia tano kwa mkupuo?Ndugu. Kwa kufikiri kwangu, naona kuwa soko rasmi la Asali kwa Tanzania bado ni changamoto. Kwa sasa ni kuwa wafugaji wengi tunauza ktk soko la mtaani.
Kama uko mikoa ya nyanda za juu kusini nitumie ujumbe nikuelekeze MTU anaenunua kuanzia Lita 20.
Hakikisha uwe na Asali iliyotazamwa kwa reflectometer ili iwe na water content isiyozidi 17.
Pia itategemea unazo Lita ngapi. Kama ni chache ni vema ukauza katika soko lilo jirani na unakoishi. Hakikisha ubora na viwango kwa kuwa Asali inaliwa bila kupikwa.
Asali inaanza kurinwa (kuvunwa) trh 01/7 hadi september ya kila mwaka, wenyewe wanaita msimu.
Asali orijino inapatikata Tabora mjini ikitokea wilaya ya Sikonge na Inyonga.
Unapohitaji asali 'orijino' weka sharti la kununua asali mbichi.
Asante Sana.Tafuta soko Rwanda "thank me later" hutokuja ujute
pamoja kama upo seriaz ushatoboaAsante Sana.
Bei zake huko zikoje???... Na vibali vya kutoa asali Tanzania kwenda Rwanda?pamoja kama upo seriaz ushatoboa
July - October sana sanaSamahani mie nataka kujua tu kipindi gani hua ndo msimu wa asali huko tabora na Kijiji au wilaya inapopatikana kwa wingi ile original kabisaaaa, natanguliza shukran wakuu