ilikuwa 25 ikaongezeka miwili,manyara na mwingine sikumbuki
Nashukuru,ila sasa hii Njoluma na Simiyu iko sehemu gani ya Tanzania.Kwangu mimi ni mara ya kwanza kusikia hizi sehemu hebu nielewesheni jamani!
Njoluma wamechukua wilaya ya njombe iliyoko iringa na sehemu na mkoa wa ruvuma kuunda mkoa mpya, simiyu sijui
geita nayo mkoa siku hizi....