Naomba kufahamu mshahara wa mwalimu diploma holder anayeanza

Naomba kufahamu mshahara wa mwalimu diploma holder anayeanza

Nchang'wa

Member
Joined
Jun 19, 2014
Posts
13
Reaction score
0
Habari za humu ndani
Jamani naomba kufahamishwa kwa yeyote anayefahamu diploma huwa wanaanza na TGOS gani yani ile first appointment.
 
Kama 746,200 akiana na akimaliza mwaka unafika 952,000 hizo no baada ya makato
 
Habari za humu ndani
Jamani naomba kufahamishwa kwa yeyote anayefahamu diploma huwa wanaanza na TGOS gani yani ile first appointment.

Sio TGOS ni TGTS.mwalimu Wa diproma anaanza na TGTS C ambayo kama Tsh 400000/= hiyo ni basic, ukitoa makatomakato kilio.
 
Humu sidhani ni home of great thinkers mbona maswali hayafanani na usomi,hiv wewe hapo ulipo hakuna shule ukamuulize mwl? Au unataka majibu marahisi
 
Wanakula 460,000 kwa sasa kabla ya makato, panga la Wizara ya fedha likifyeka anachochukua ni siri yake na mkewe kama anae.
 
Mwl.wa dip ananza na tgts c1 ambyo ni sawa na 432500 that is a basic salary
 
Back
Top Bottom