Kama 746,200 akiana na akimaliza mwaka unafika 952,000 hizo no baada ya makato
Ndo hvoo mkuu....muda ote kuulizs mishaara
Habari za humu ndani
Jamani naomba kufahamishwa kwa yeyote anayefahamu diploma huwa wanaanza na TGOS gani yani ile first appointment.