Naomba kufahamu namna ya kuexport raw cashew nuts

Naomba kufahamu namna ya kuexport raw cashew nuts

New world

Member
Joined
Mar 13, 2014
Posts
18
Reaction score
5
Habari wakuu.Naomba kufahamu namna ya kuexport raw cashew nuts ,ni documents gani unapaswa kuwa navyo na taasisi gani za kiserikali zinahusika katika utoaji wa hizo documents. ( Kwa sasa serikali imekataza kuexport raw cashew nuts nataka kufahamu taratibu tu.)
 
Kama serikali imekataza sasa unataka utaratibu gani??

Utaratibu ni kuzibangua ndipo usafirishe. Serikali haijaweka Vikwazo/ Urasimu ku export bali imekataza.
 
Back
Top Bottom