Naomba kufahamu namna ya kuhamisha pesa from Safaricom M-PESA to Vodacom M-Pesa

Kwenye miji mikubwa wakala wa mpesa ya safaricom wapo, wewe upo wapi?
 
Tumia hii,

*840#

1- send money abroad
1-send to mobile number
3- Tanzania

Utaingiza namba ya recipient ukianza na 255

Utaweka kiasi

Utachagua no3- savings
Utachagua no4- Gift & donation

Then utaconfirm.

Mm ndo huwa nahamisha kwa njia hiyo,
Japokuwa zipo nyingi.
 
Tumia hii,

*840#

1- send money abroad
1-send to mobile number....
Hii ndo nzuri hata mimi naitumia maana haina makato n free ila ukitoa Voda kuja safcom wanakata Sana hao ng'ombe
 
Sio Voda Tu unaeza tuma any network
Apart from halotel hua haiend
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…