Naomba kufahamu ni vibali gani vitaitajika ili kuweza kusafirisha dagaa na uduvu

Naomba kufahamu ni vibali gani vitaitajika ili kuweza kusafirisha dagaa na uduvu

A man with no name

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2017
Posts
1,135
Reaction score
1,574
Wanajamvi naomba kufahamishwa ni mambo gani yanaitajika ili kuweza kusafirisha dagaa na uduvu kwa ajili ya chakula cha kuku
Naomba kwa mwenye kuelewa anifahamishe
 
Wanajamvi naomba kufahamishwa ni mambo gani yanaitajika ili kuweza kusafirisha dagaa na uduvu kwa ajili ya chakula cha kuku
Naomba kwa mwenye kuelewa anifahamishe
Dah.. ungejaibu kuingia kwenye website ya wizara, labda unaweza kupata muongozo.

Ingawa wizara zetu nyingi haziweki wazi vitu vingi. Ila ukifanya makosa, ndipo wanapokuambiwa umekosea, wanakukamata. Kazi kweli kweli.
 
Back
Top Bottom