N
===========================================================================
Unapotaka kuchukua mkopo mahali popote:-
1) - Ni vizuri ukaenda kwenye tawi la benki lililo karibu kwa maelezo zaidi.
2) Pia sio mbaya ukajaribu kuangalia na fursa za mikopo katiba mabenki mbalimbali ili uweze kulinganisha.
3) Kabla ya kuamua kuchukua mkopo hakikisha umejirizisha na kiwango cha Marejesho/Monthly Payment kulingana na mkopo husika ikiwa ni pamoja na kupata maelezo ya gharama/tozo/ada nyinginezo zinazohusiana na mkopo unaotaka kukopeshwa.
4) Kuwa makini na usihadaike na kiwango cha chini cha riba kinachotozwa na ; unaweza ambiwa riba ni let's say 13% kwa mwaka, lakini unacholipa kwa mwezi (Marejesho/Monthly payment) ni zaidi ya aliyekopa mkopo unaotozwa asilimia 18% au zaidi kwa mwaka.
Natumai umenielewa.
===========================================================================