Naomba kufahamu sheria zinazozungumzia vyombo vya moto pamoja na masuala ya barabara Tanzania

Naomba kufahamu sheria zinazozungumzia vyombo vya moto pamoja na masuala ya barabara Tanzania

James88

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2017
Posts
1,700
Reaction score
1,761
Ninaomba kujua sheria zinazozungumzia vyombo vya moto pamoja na masuala ya barabara Tanzania ukiachana na Road Traffic Act CAP 168 pamoja na The motor vehicles Act CAP 124. Naomba kufahamu kama kuna sheria zingine ukiachana na hizo mbili.

Natanguliza shukrani.
 
Back
Top Bottom