Naomba kufahamu simu aina ya Google Pixel nzuri yenye bei nafuu sana

Naomba kufahamu simu aina ya Google Pixel nzuri yenye bei nafuu sana

Melki Wamatukio

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2022
Posts
6,156
Reaction score
10,974
U hali gani mwana JF?

Nahitaji kufahamu simu aina ya Google Pixel nzuri, haijalishi ni mpya ama ya zamani, kikubwa iwe inapatikana kirahisi, simu yenye bei rafiki isiyozidi 300k, hata kama ni ya mkopo, yenye camera kali zinazoeleweka na kufanania range, mfano 50MP, 48MP, 40MP na 42MP Real (Mfano)

Issue ni camera tu kwenye hiyo simu, itapendeza kama utaweka na location ya mahala zinapopatikana, ziwe za dukani, na si za mkononi

Ahsanteni
 
Hapo unazungumzia simu za mtumba kama betting vile, anyway sikutishi ila ndio reality jiandae mara nyingi na tatizo la Betri.
Kwa 300K nahisi utapata Pixel 3 nadhani.
 
Back
Top Bottom