Naomba kufahamu tabia za wanawake wa Kiethiopia

Dunia ilikofikia kuna kabila fulani ambayo wanawake zao hawagawi? Mimi mdau wa kupitia madanguro kuanzia Sinza, kahumba na samaki samaki (Moro), Chako ni Chako (Dom) na hata madanguro ya Ar. Kote huko unawakiuta hadi vijimama na vibantu vya Kitambu vilivyojazana matumbo vinagawa papuchi. Kwa utafiti wangu binafsi naona Wanawake wa Wabantu ndo wanazidi kwa kugawa hovyo kuliko hata hao dada zangu wa Kikushi na Kihamitiki.
 
Kuwafanisha Wairaqw/ Wambulu/ kwa kugawa mzigo na makabila mengine ni kuwapunguzia hadhi yao kwenye sekta hii.

Hata kama Cushite ni kaka yao, kwenye hili kuwa mpole. Dada zako wanatuokoa mno. Kwanza mbulu usipomtongoza anaona umemdharau
 
Nipo kwenye mahusiano na mwanamke wa ki-Ethiopia, naomba kifahamishwa kitabia wapo vp?
Unataka tuvunje upendo wenu? Maana tutakupa ushauri Gani wakati umeshampenda na umeingia kwenye mahusiano?
 
Nipo kwenye mahusiano na mwanamke wa ki-Ethiopia, naomba kifahamishwa kitabia wapo vp?
Tabia zao ni kuwa na 'last say' katika mahusiano ya ndoa.

Tamaduni zao ni mashariki na magharibi kwa tamaduni zetu.

Kama ana umri wa kuweza kubadilika, beba maana ni warembo kweli kweli.
 
Huu ni uongo wa mwaka.
Ethiopia hata kuokota malaya ni ngumu mnoo.
Waethiopia wanaabudu ndoa sana.
Hajawahi kunisumbua ila nipo nae kwenye mahusiano almost mwezi sasa na mstudy tu
 
Nipo kwenye mahusiano na mwanamke wa ki-Ethiopia, naomba kifahamishwa kitabia wapo vp?

Tabia ya mwanamke inatokana na tabia ya mwanamme. Kumbuka hilo.

Kama haumtimizii yake, lazima atatafuta wa kumtimizia. Huyo awe wa popote duniani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…