Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 35,812
- 107,628
Habari, naomba kujuzwa kidogo kuhusu tabaia/sifa za watu wa mkoa wa Mbeya hasa (Wanyakyusa). Wanasifa gani tofauti na za makabila mengine hasa Wanaume wa kinyakyusa(Distinctive features)?
Kwanini nauliza?
Well, kwa sababu zangu binafsi. Mara nyingi napenda kujitambulisha kabila langu kua ni "msukuma" na naongea kisukuma pia somehow. Bahati mbaya sana huwa japo najitambulisha kama msukuma ila hua wanakataa na kusema mimi ni mnyaki.
Eneo nililopo sasa wananiita mnyaki na wengine hupenda kuniuliza habari za Mbeya ila Sijawahi kufika Mbeya hata siku moja. Nikiuliza kwanini mnadhani mimi ni mnyaki wanasema wanyaki wanaume sura/muonekano wao haujifichi.
Kilichofanya nichukulie serious hii ishu ni jambo lililotokea wiki hii, nilienda mahali fulani kupata huduma unfortunately some inconvenience emerged and it was kinda a no-go on my service. Ila mtoa huduma mdada akaniambia nakusadia tu kwakua wewe ni "wakwetu." Nilishtuka kidogo nikauliza kwenu wapi? Akajibu Mbeya!
Nikauliza umejuaje mimi natokea mbeya? Akasema pia sura yako inaonyesha ni myakyusa😅, ili nisikose huduma ikabidi nikubali tu.
Hear, Hear
Nijuze sifa za watu hawa ili nijue kwanini nami nachukuliwa hivyo!
I want to embrace it, nianze kujitambulisha kama mnyakyusa.✌️