hery_edson
Senior Member
- Sep 24, 2014
- 153
- 169
AiseeVuta subra wanakuja
Mkuu umepata feedback ya watu? Hata mimi nahitaji kujua hizi stepsHabari zenu wana Jamiiforus,
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu ninaomba kujua taratibu za kuanzisha zahanati, kwa vipengele vifuatavyo:-
(i) Ujenzi wa jengo-Ninamiliki kiwanja chenye vipimo vifuatavyo 30m x 24m.
(ii)Gharama za Vifaa husika kwa ajili ya kuanza kazi.
(iii)Gharama za usajili wa zahanati pamoja na leseni za kuendesha huduma husika.
NB; Hii ni long-term project ambayo nitakua naijenga kwa kudunduliza (sitaki izidi miaka 3) kutokana na hali zetu za kiuchumi kua ngumu.
Kwa wale ambao wanajua ABC za kuanzisha project hii naombeni msaada wenu.
Inatosha.Jamani mko kimya sana, naomba kujua mtu akiwa na 100mil af akawa hana jengo wala kiwanja anataka kununua kiwanja na ajenge jengo lake mwenyewe la zahanati, hii budget inatosha kufanya hayo yote + ujenzi wa zahanati + ujenzi wa incinerator + kuweka vifaa tiba vyote vinavyohitajika + kuweka watumishi mf (CO 2, nurses 2, MAT 1, lab tech 2, phamacy 2 na mlinzi) iyo hela itatosha kurun hizo costs zote???