VeroEretico
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 512
- 398
Wadau wale wataalamu wa mambo ya uchumi na ujasiriamali naomba kufahamishwa kuhusu Taratibu zinazotakiwa kufuata na kiasi cha mtaji wa fedha unaohitajika ili kuanzisha Microcredit Company hapa Tanzania?
Mnakaribishwa kwa mchango yenu
Mnakaribishwa kwa mchango yenu