1.Tafuta jina na sajili kampun.
2. Baada ya kusajili brela utaenda wizara ya viwanda na biashara kuomba leseni ambayo ni kama tshs.600,000.
3.Kuhusu mtaji hata tshs million moja unaweza kuanza inategemea unataka kutoa mikopo ya aina gan na kias gani
4. N biashara nzur yenye ushindan na inahitaj commitment kubwa.