Naomba Kufahamu UBIA wa ujenzi Gorofa huwa unapatikana vipi...!?

Naomba Kufahamu UBIA wa ujenzi Gorofa huwa unapatikana vipi...!?

Prof Nasibu

Member
Joined
Aug 12, 2022
Posts
27
Reaction score
8
Nna Nyumba Magomeni Natafuta Mwekezaji wa Ubia... Nyumba ipo Barabarani kabisa karibu na Stendi ya Magomeni Kanisani, Kanisa la KKKT Magomeni, Ofisi ya Mkuu wa Wilaya Kinondoni na Majengo mapya ya watumishi ya serikali (Magomeni Kota)
 
Utaliwa kichwa [emoji276]ngoja wachaga waje wakushauri
 
Mkuu,Unataka Ubia wa Kujenga Gorofa?Eneo lina ukubwa gani?Wewe unawaza Ghorofa la aina gani na kwa ubia wa aina gani?Unajishughulisha na shughuli gani?Umiliki wa eneo ukoje?Mf,La kwako,la familia,urithi etc?Je eneo lina thamani gani(kama likiuzwa?) kwa bei ya soko?

Kwa kuwa haya maswali nimeuliza in Public Usishawishik kujibu Public kama hauko free unaweza nijibu PM ili niweze kukupa Hints za nini cha kufanya.
 
Back
Top Bottom