Gari hii inakuja na machaguo mawili ya injini injini moja ni 1.2L na injini ya pili ni 1.6 L injini zote hizi mbili zimeundwa kwa technolojia ya juu zaidi huku ikiusisha technolojia ya DOH VVT ,ambayo teknolojia suzuki imekuwa ikifanya vizuir sana huku toyota naye akijitaidi kukopi na kujikuta magari yakiwa na hitlafu na kubagua mafuta ....wakati suzuki katika mfumo wa DOH vvt ni mzuri ambao injini haibagui mafuata na injini huchoma mafuta ...kwa kiwango kidogo sana
Transmition ya gari hili ni manual na automatic inategemea wewe utapenda ipi huku automatic ikiwa na 4 speed , na manual ikiwa na na 6; speed na hivyo kulifanya likidhi mahitaji kwa watu wengi
Huku likiwa na 2wd mfumo unaofanya tairi za mbele kusukumwa naninjini na jingineblikiwa na 4wd tairi zote zikisukumwa na injininhivyo kulifanya kuwa na nguvu mara dufu katika uterezi milima na barabara ambazo zenye uterz sana
Gari hili linakuja na grade tatu ambazo ni
*Sukuzi swift xG
*Suzuki swift xl
*Suzuki swift xs
Gari hili linakuja na technologiabya key lles, cruise control nadhani matumizi yake tulishajifunza sitaki kuielezea sana cruize control ,air bag, electronic stability CD MEDIA player
Utumiaji wa mafuta wa gari hili ukoje?
* Suzukinswift ile yenye cc 1200 injini inayotumia 2wd inatumia lita 1 kwa kilo mita 23
Na ile ya cc 1200 huku tairi zote zikisukumwa na injini yaani 4WD Inatumia mafuta lita 1 kwa km 20
...,huu ni utumiaji mzuri sana wa mafuta ....huwez ukalinganisha na gari za toyota labda zile za hybrid kama. Toyota puric (c) lkn katika gari hili ni mkombozi sana kwa watu wenye kipato kidogo na wale wenye ndoto za kuitumia katika uber
Na injini ya 1.6l ile ya cc 1600 inatumia km 16 kwa lita 1
ya mafuta gari hii imeleta mapinduzi makubwa katika soko la magari
Tank la gari hili ni lita 42
GROUND CLEARENCE
Uvungu wa gari hili ni 5.5 hivyo kuifanya iwe chini kidogo na kutoweza kupita kwa baadhi ya njia za hapa kwetu tz ...maana barabara nyingi za tanzania zinahitaajigari lenye 6.5 inch ili kuwa na muinuko mkubwa kwa watu wenye barabara mbovu gari hili sio rafiki sanan
Stability ya gari hili
*injini ya gari hili ile ya cc 1200 ni nzito kidogo katika kuchanganya mwendo hivyo inahitajinuwe na uvumilivu uwapo barabarani
*Injini ya 1.6 ni injini nzuri na ni nyepesi sana katika kuchanganya.
Je gari hili linatunzwaje? Unashauriwa ukifikisha km 10,000 kufanya mambo yafatayo ili gari lizidi kudumu
*safisha AIR CLEANER
*Safisha oil filter
*Badili engine oil
Likifikisha km 15,000 hakikisha unafanya yafatayo
*Air claeaner
*ATF Filter
*Plug
*Front brake pad
*Engine kuikagua
Vipi kuhusu vipuli vya gari kwa sasa vipo madukani vingi vimejaa hakuna hofu tena
Changamoto za gari hili
Watengenezaji wa magari wengi huwa hawazingatii zaidi hali ya hewa na mazingira ya afrika hivyo hatabkwa toyota swift kuna baadhi wameripot kuwa gear box hasa za aut kusumbua lkn uchunguzi unaonyesha. Kuwa matatizo hayo yanasababishwa na kutolitunza gari vyema
Kwa hayoachache madhani yatakusaidia
sent from HUAWEI