Naomba kufahamu umbali uliopo kati ya Bagamoyo mjini na kunapojengwa Bandari

ndechilio shoo

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2013
Posts
997
Reaction score
365
Habari zenu wakuu,

Naombeni kufahamu umbali uyopo Bagamoyo mjini na hapo kwenye maeneo ya ujenzi wa bandari,usafiri upo wa uhakika na barabara ipo imara.
 
Nunderunda pfo......o nkiki......?......nulemshike pfo.......?.......wandu wekelowa kuta warumu.........

cc😡Pdiddy......
 
Nunderunda pfo......o nkiki......?......nulemshike pfo.......?.......wandu wekelowa kuta warumu.........

Hahahahaaa !

Ndo umbali wa kilomita ngapi Preta
 
Last edited by a moderator:
Habari zenu wakuu,naombeni kufaham umbali uyopo bagamoyo mjini na hapo kwenye maeneo ya ujenzi wa bandari,usafiri upo wa uwakika na barabara ipo imara.

Kutoka Bagamoyo mjini hadi Mbegani inapojengwa bandari mpya ni mwendo wa kilometa 15-20 hivi. Hakuna usafiri wa direct kwenda kule isipokuwa kwa pikipiki tu au tax na bajaj. Labda ukipanda magari yanayokuja Dar basi unashuka Zinga utakuwa umepunguza umbali lakini utalazimika kukodi pikipiki au tax kwani kutoka hapo hadi kule ni kama 5km.
 
Ngoja wakwere waje wakujibu Mkuu

Kumbe bado una mawazo ya kizamani siku hizi Bagamoyo wageni wengi kuliko hao wakwere na wazaramo. Wenyeji wengi wamevuliwa maeneo wameenda mbali na hata huo mradi wa bandari umewaondoa wengi hapo pia kuna mradi wa EPZA nao umekimbiza wengi sana. Siku hizi hata viwanja bei juu kuliko za huko Dar make wanaouza ni wale walionunua sio hao wenyeji
 
Ina maana bagamoyo hakuna wakwere:what:
 
Ina maana bagamoyo hakuna wakwere:what:

Wapo lakini kwa comment yako hapo juu ilionyesha kuwa bagamoyo bado ni ya wakwere tu na ndo wanaweza kutoa majibu kumbe tayari bagamoyo ni sawa na Dar tu haitawaliwi na kabila hilo.
 
Wapo lakini kwa comment yako hapo juu ilionyesha kuwa bagamoyo bado ni ya wakwere tu na ndo wanaweza kutoa majibu kumbe tayari bagamoyo ni sawa na Dar tu haitawaliwi na kabila hilo.

Sikuwa na maana hiyo mkuu! Ila nimesema hivyo nikitumia wakwere kama reference...
 
b,moyo kunaprot nilinunua lak 4 miaka ya 2005, 20*20.... maeneo ya bong'wa, kwa sasa cjui sh. ngapi? anaye jua anijuze!
 
b,moyo kunaprot nilinunua lak 4 miaka ya 2005, 20*20.... maeneo ya bong'wa, kwa sasa cjui sh. ngapi? anaye jua anijuze!

kama imepimwa ata 30m utauza na kama haijapimwa 10m-20m unaweza kupata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…