Naomba kufahamu umri wa Bwana Kangi Lugola

Naomba kufahamu umri wa Bwana Kangi Lugola

KISIWAGA

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2015
Posts
8,022
Reaction score
16,563
Nimeshangazwa sana na maneno ya Rais Magufuli wakati akimtumbua Lugola kuwa aliwahi kuwa mwanafunzi wake Sengerema Secondary wakati nikimtazama Rais Magufuli na Lugola ni kama Lugola ni mzee kuliko Magu

sasa kwa wanaojua umri wa bwana Lugola wanifahamishe tafadhari

Nimeangalia kwenye tovuti ya bunge kuwa Lugola alisoma sengerema secondary kuanzia mwaka 1981-1984 labda uchunguzi rasmi uanzie hapo kuangalia wakati huo mkemia Magu alikuwa anapiga mzigo wapi
 
Nimeshangazwa sana na maneno ya Magufuli wakati akimtumbua Lugola kuwa Lugola aliwahi kuwa mwanafunzi wake Sengerema Secondary wakati nikimtazama Magu na Lugola ni kama Lugola ni mzee kuliko Magu

sasa kwa wanaojua umri wa bwana Lugola wanifahamishe tafadhari
Kangi kazaliwa 1963

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inawezekana since wakati mwngne wanafunzi siku za nyuma walikuwa wakihitim hurudi kujitolea wakiwa wamesubiri matokeo au muda wa kuelekea advance au chuo

Sent using Jamii Forums mobile app
Mhuuuuum. Kutokana na historia ya Magufuli hakuna sehemu alijitolea. Any way labda. Tena Sengerema secondary ni goverment. Labda.
 
Back
Top Bottom