Naomba kufahamu umri wa Bwana Kangi Lugola

Basi Lugola alichelewa sana kuanza shule. Au alifeli la saba akarudia sana tena sana. Tatizo hawa wanasiasa utasikia tu wamesoma wapi na wapi ila miaka ipi hawasemi. Bashite nae haijulikani secondary alimaliza mwaka gani.
Bashite alisoma MEMKWA na GWAJIMA tena wote walikuwa wanakwenda shuleni pekupeku
 
Mimi pia naomba kujua, leo Lugala atalindwa nyumbani kwake au ndiyo walinz waliondoka mara tu alipotumbuliwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ninyi wa ajabu kweli kuna dogo ana under 30 anashuka muhadhara kwa over 40. Kipindi kile kuna baadhi ya watani zangu wanaanza form one wakiwa tayari na familia ya watoto watatu huku mwalimu wao wakiwa bachelors kutokana na umri.
Chuo kikuu,vyuoni huko sawa. Maana wengine wanatoka makazini. Secondary jamani ? ?????
 
Basi Lugola alichelewa sana kuanza shule. Au alifeli la saba akarudia sana tena sana. Tatizo hawa wanasiasa utasikia tu wamesoma wapi na wapi ila miaka ipi hawasemi. Bashite nae haijulikani secondary alimaliza mwaka gani.
Kabisa na mimi ndo waza haya kuna uwezekano labda maana ndo hapo wanahabari maripota wana msemo wao maarufu, "katika hali isiyo ya kawaida..." hiki ndo kingekuwa kichwa cha habari cha hii habari.
 
Hivi unaweza kumfundisha uliemzidi miaka minne sekondari ?
Kwa siku hizi ndiyo haiwezekani, lakini zaman ilikuwa mtu unaemzidi umri angeweza kuwa mwalim wako pia. Enzi hizo ilikuwa mwanafunzi wa miaka 18 anasoma darasa moja na mwanafunzi wa miaka 12.

Kumbuka JPM mzazi wake (baba) alikuwa ni mwalim so kuna uwezakano alisoma kwa umri mdogo nae Lugola alikuwa ni mtoto wa mkulima so alirudia shule mara kibao hachaguliwa kwenda secondary. Zamani ilikuwa ni kuchaguliwa kwenda secondary na siyo kushinda, kwa sababu ya uhaba wa shule. Enzi hizo kurudia shule hata mara nne ilikuwa ni jambo la kawaida.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu walisoma wakiwa na umri kubwa zamani, hasa wale vilaza wasiokubali kufeli: hivyo walirudia mara kadhaa, au kusubiri nafasi ya mwingine na kubadili names.
Hata miaka ya tisini tuliingia form one na watu wako 26 wakati Sisi tuko 13.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…