Aliwanyanyasa sana viongozi wa polisi. Kweli malipo ni hapa hapa Duniani. Kama ni watu wa visasi atajuta ni kwa nini alichaguliwa kuwa waziri wa mambo ya ndaniWakimuondolea walinzi kuna mapolisi watamla matako
Kwa siku hizi ndiyo haiwezekani, lakini zaman ilikuwa mtu unaemzidi umri angeweza kuwa mwalim wako pia. Enzi hizo ilikuwa mwanafunzi wa miaka 18 anasoma darasa moja na mwanafunzi wa miaka 12.
Kumbuka JPM mzazi wake (baba) alikuwa ni mwalim so kuna uwezakano alisoma kwa umri mdogo nae Lugola alikuwa ni mtoto wa mkulima so alirudia shule mara kibao hachaguliwa kwenda secondary. Zamani ilikuwa ni kuchaguliwa kwenda secondary na siyo kushinda, kwa sababu ya uhaba wa shule. Enzi hizo kurudia shule hata mara nne ilikuwa ni jambo la kawaida.
Sent using Jamii Forums mobile app
Magu katudanganya hapaKwani Diploma ya ualimu enzi hizo ilikuwa inasomwa kwa miaka miangapi ? View attachment 1332222View attachment 1332223
Alikuwa kitengo cha utamaduni ngoma za asili shuleni so mwalimu anayajua mauno ya student wakoKumbe yale mauno alikuwa anakata mbele ya mwl wake. [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kuna wanafunzi majasiri sana.
Inaonekana Rais anamjua vyema huyu Kangi.
Mkuu hii bado sijaelewa,ina maana alisoma chato primary kwa miaka 9? Na secondary mwaka mmoja?(hapa hujasema kama Ni O-level au A -level)Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli, ambaye anatoka Chama cha Mapinduzi, kitaaluma ni mwalimu na mtalaamu wa kemia.
Alizaliwa Oktoba 29 mwaka 1959 huko Chato mkoani Kagera, Kaskazini magharibi mwa Tanzania.
Magufuli alipata elimu ya msingi katika shule ya msingi huko huko Chato kuanzia mwaka 1967 hadi 1975 na baadaye akajiunga na shule ya sekondari ya Lake iliyoko Mwanza mwaka 1977 hadi 1978.
Kiongozi huyo alijiunga na chuo cha ualimu cha Mkwawa kilichoko Iringa, Kusini mashariki mwa Tanzania kati ya mwaka 1979 na 1982 ambapo alitunukiwa Stahahada ya Ualimu.
Baada ya kufuzu, alifundisha masomo ya hisabati na kemia katika shule mbalimbali za sekondari kuanzia mwaka 1983.
Magufuli hakuishia hapo kielemu kwani aliamua kujiendeleza zaidi na kujiunga na chuo Kikuu cha Dar es Salaam mwaka 1985 hadi 1988 ambapo alitunukiwa shahada ya ualimu katika masomo ya kemia na hisabati.
SInawezekana since wakati mwngne wanafunzi siku za nyuma walikuwa wakihitim hurudi kujitolea wakiwa wamesubiri matokeo au muda wa kuelekea advance au chuo
Sent using Jamii Forums mobile app
Aliongoza mgomo ulioambatana na uhaibifu mkubwa wa majengo Sengerema sekondari akiwa form 3, Leo anajifanya mzalendo.Kumbe yale mauno alikuwa anakata mbele ya mwl wake. [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kuna wanafunzi majasiri sana.
Inaonekana Rais anamjua vyema huyu Kangi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kumbe yale mauno alikuwa anakata mbele ya mwl wake. [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kuna wanafunzi majasiri sana.
Inaonekana Rais anamjua vyema huyu Kangi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwanafunzi mbele ya tcha wake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kumbe yale mauno alikuwa anakata mbele ya mwl wake. [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kuna wanafunzi majasiri sana.
Inaonekana Rais anamjua vyema huyu Kangi.
Ana 60 sasaMagu 59.Alimfundisha vipi Lugola ?