Habari wanajamvi?
Nimetokea kupapenda sana Dubai,Singapore na Malaysia na ninatamani kufahamu kuhusu upatikanaji wa kazi huko.. Nataka kufanya application ya kazi huko..
So, mwenye information za kutosha naomba anipatie au ani PM... Nataka kupata taarifa kuhusu upatikanaji wa kazi na mazingira kama ni conducive..
Mimi ni Competent Computer scientist, niko specialized kwenye issue za Programming(web/desktop apps) na Database Systems(Design & Administration)
Shukrani
Unajua watu wengine mnashangaza kupita maelezo? Umesema unapapenda na bado huna taarifa zake, sasa unapapendaje? Au umependa majina ya hizo nchi? Yawezekana na shemeji yangu ulianza kumpenda kabla hujamuona na ndio maana sasa mmeachana akili zinakuruka unaongea vioja zaidi. Ubongo wako unahitaji kuwa programmed upya kabla hujaanza kuprogram madudu kwenye ofisi za watu.

kwani ungemjibu vizuri nini kingekupata, au unataka onekana kuwa we ndo unajua kureply saaaanaa, mangapi we unauliza na unajibiwa hivo, khaaaa, jitu zima hovyo, mambo ya shemeji yameingiaje hapa, we vipi ww, kama hujui kaa kando c lazima kila kitu ujibu banaaaa..... ebu tupishe cku nyingine.......nyambafu weee,
Hivi lazima ucomment kila thread unayoiona!? Ka hauna cha kumjibu ungeuchuna tu,.Angekuwa na taarifa za huko unadhani angepoteza muda kupost uzi!?